UsininyonyeVanishing Herds
Utengano
Utengano

Author: Said A Mohamed
ISBN: 9966 4970 3 X
Price: Kshs 350.00

Description:

'Miiimi, mimi mwanao? weew nani?... Sogea hatua moja tu, kama hitaki roho yako.Utanijua sasa hivi kuwa mimi siye tena maimuna boza.Nyinyi ndio mlionibadilisha hivi. Nyinyi na dunia'Ilikuwaje hata Maimuna Mwari mwarika,mwana wa nyumba kubwa - kubadilika kiasi hicho?... Ni nini hasa kilicholeta utengano nyumbani mwa Bwana Maksuudi?

Said A. Mohamed ni mwandishi mashuhuri aliyebarikiwa na ukwasi wa lugha ya kiswahili. Baadhi ya vitabu vyake vingine vilivyochapishwa na longhorn ni: Msemo,Milio na Tashbihi, Vito vya Hekima, Dunia Mti Mkavu, Arusi ya Buldoza, Sikate Tamaa na Jicho la Ndani.





Book Search

By FellTech

Site Login